Injinia Hersi Said awavulia kofia wachezaji wa Yanga Sc..

Je,Umepakua App Yako? BOFYA HAPA kudownload App Ya Timu Ya Wananchi

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga Sc, amewapongeza wachezaji kwa kujitoa kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons licha ya kukabiliwa na changamoto za kiafya.

ISOME NA HII >>Wananchi Eee...hatuachi kitu Msimu Huu..

Injinia Hersi amesema wachezaji wanastahili pongezi kwa kujitoa na zaidi wameonyesha mapenzi makubwa kwa Yanga Sc.

Bosi huyo anayeshughulikia masuala yote ya usajili ya Yanga Sc, amesema hakufikiri kama ingekuwa rahisi kwao kuweza kupata ushindi dhidi ya timu ngumu zaidi kwenye ligi kuu tena wachezaji wakiwa katika hali ya kuumwa.

Soma Zaidi https://timuyawananchi.blogspot.com/

Je,Umepakua App Yako? BOFYA HAPA kudownload App Ya Timu Ya Wananchi

Post a Comment

0 Comments